Tuesday, April 13, 2010

WASHINDI WA KWEA PIPA NA COCA COLA WAPOKEA ZAWADI ZAO

Baadhi ya washindi wakiwa katika hafla hiyo.


Baadhi ya viongozi wa Bonite wakiwa katika meza kuu kutoka kushoto meneja Uajili Dominic Urasa, Meneja tawi la Arusha, Mongola Segule, Meneja wa fedha.

Meneja uajili wa kiwanda cha Bonite Dominick Urasa(kushoto) akimkabidhi mmoja kati ya washindi wa zawadi ya TV katika promosheni ya Kwea pipa na ushinde inayoendeshwa na Cocacola.