Saturday, April 10, 2010

JK AONGOZA KIKAO CHA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA.

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kikao cha pamoja cha wajumbe wa Halmashauri kuu ta Taifa, wenyeviti na makatibu wa CCM wa wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya wajumbe walihudhuria kikao cha pamoja cha wajumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa,wenyeviti na Makatibu wa CCM Wilaya
(Picha na freddy Maro)

No comments: