Princess Maxima akipokea zawadi ya vitu mbalimbali ikiwemo Kahawa, Chai na Korosho kutoka kwa Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo leo jijini Dar es salaam ikiwa ni ishara ya kumkaribisha nchini Tanzania. Princess Maxima na ujumbe wake yuko nchini kwa ziara ya siku mbili ambapo atakutana na viongozi mbalimbali waandamizi wa serikali na taasisi za kifedha.
Friday, April 9, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment