![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgRJo5QvBNUVE1JRs00rlcwh_AXcHcXhc2fcqRalZKgKZt2_8G8Q7AAs3Ls2sPDQFpcrPygp-YePz0htQUHMdB7fioMFqvZ_UETVynSBCCWEwhvZRf3IxiT1K322u_QTUEHSCO2tdZXAOr8/s400/_47605973_berger1hr%5B1%5D.jpg)
Walipatikana katika mabaki ya mapango mjini Malapa, eneo ambalo si mbali na mji wa Johannesburg.Watafiti wameliambia jarida la kisayansi kwamba viumbe hao wanakamilisha pengo lililopo baina ya 'hominid' wenye umri mkubwa zaidi na kundi la viumbe wa kisasa 'Homo'.
Mwanadamu kisayansi huwekwa katika kundi la 'Homo'.
Watafiti hao wamewapa viumbe hao wapya jina la kisayansi la Australopithecus sedib.
Watafiti hao wamewapa viumbe hao wapya jina la kisayansi la Australopithecus sedib.
No comments:
Post a Comment