Wednesday, April 7, 2010

SHEREHE ZA KUMUENZI HAYATI KARUME ZANZIBAR

Mjane wa muasisi wa mapinduzi ya Zanzibar Mama Fatma Karume na mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shadya Karume wakati wa dua ya kumuombea marehemu Abeid Amani Karume mjini Zanzibar.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Rais Amani Abeid Karume (kulia) wa Zanzibar na mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM Yusuph Masauni(kushoto) wakati wa mapokezi ya maandamano ya umoja wa vijana.


Rais Kikwete akiwahutubia vijana wa UVCCMwalioshiriki katika maandamano ya kumuenzi Marehemu Abeid Amani Karume mjini Zanzibar.

Vijana wa UVCCM wakipita mbele ya Mwenyekiti wa UVCCM rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa maandamano ya kumuenzi hayati Abeid Amani Karume mjini Zanzibar katika viwanja vya CCM maisara jana.

No comments: