Saturday, April 17, 2010

MISS UNIVERSE WAINGIA KAMBINI

Mkurugenzi wa Kampuni ya Compas Communicatins Maria Sarungi ambaye pia mwandaaji wa Miss Universe Tanzania akiongea na wageni mbalimbali na wakati warembo wapatao 20 walipoingia rasmi kambini kwa muda wa wiki moja katika hoteli ya Girrafe Ocean View Mbezi kujiandaa na shindano hilo linalotarajiwa kufanyika aprili 23 kwenye ukumbi wa Mlimani City baadae mwaka huu jijini Dar es salaam.



Warembo wanaoshiriki mashindano ya Miss Universe wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ufunguzi rasmi wa kambi yao katika Hoteli ya Giraffe Dar es Salaam.(Picha na Mohamed Mambo)

No comments: