Friday, April 9, 2010

MHE. MKULO ATEMBELEA BAHARI BEACH

Hapa akipita katika maeneo mbalimbali ya hoteli hiyo na kujionea maendeleo ya ukarabati wa hoteli hiyo.
Waziri wa fedha na Uchumi Mustafa Mkulo (katikati) akisisitiza jambo jana jioni jijini Dar es salaam kwa viongozi wa Hoteli ya Bahari Beach ambayo inatarajiwa kufunguliwa hivi karibuni mara baada ya kukamilika ukarabati wake.Wengine katika picha ni Mkurugenzi Mkuu wa Hotel hiyo Gerald Schravan(kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji Abdalah Hiblo(kulia).

No comments: