BUNGE LAHAMIA UKUMBI WA MSEKWA BAADA YA HITILAFU KUTOKEA UKUMBI MPYA
Spika wa Bunge Samwel Sitta akiingia kwenye ukumbi wa zamani wa Bunge wa Msekwa baada ya mfumo wa sauti wa ukumbi mpya wa Bunge kupata hitilafu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Askari wakihamisha siwa kutoka kwenye ukumbi mpya wa Bunge kwenda kwenye ukumbi wa zamani wa Msekwa baada ya mfumo wa sauti katika ukumbi mpya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Askari akihamisha joho la Spika kutoka kwenye ukumbi mpya wa Bunge kwenda kwenye ukumbi wa zamani wa Msekwa baada ya mfumo wa sauti katika ukumbi mpya Aprili 13, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)