Monday, April 12, 2010

VICKY KAMATA ATUMBUIZA KATIKA HARAMBEE YA KUCHANGIA CCM


Mwenyekiti wa UWT Sophia Simba(kulia) akiwaongoza wanachama wengine wa CCM kumpongeza msanii Vicky Kamata alipotumbuiza wakati wa hafla ya kuzindua kampeni ya kukichangia Chama cha Mapinduzi kwa nia ya simu za mkononi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana jioni.Kampeni hiyo ilizinduliwa rasmi na Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete.