Saturday, April 10, 2010

THE POOL TABLE VILLAGE KUZINDULIWA LEO


The Pool Table Village ni kijiji chenye kusheheni vifaa mbalimbali vya mchezo wa Pool na chenye hadhi ya juu, kikikutanisha wachezaji mbalimbali wa pool kutoka jijini Dar es salaam kushiriki katika mchezo huo,
katika kijiji hicho kuna Kipupwe cha kutosha (Air Condition) sehemu nzuri ya kupumzika, vinywaji baridi Saluni ya kunyoa nyele, luninga bapa kubwa zinazoonyesha picha nzuri na habari mbalimbali za (Supersport) na pia hivi karibuni itaanza kutolewa huduma ya chakula ambayo itakuwa ikitolewa kwa oda maalum.

Kijiji hicho kiko Tandika Davis Coner Wilayani Temeke katika jiji la Dar es salaam kikijumuisha studio ya kisasa ya kurekodi muziki mbalimbali inayojulikana kama MpoAfrika Studio huduma hizi zote ziko chini ya Kampuni mama ya Mpoafrika Entertainment

No comments: