Tuesday, April 20, 2010

Hongera Gadna na Jide kwa kudumisha ndoa

Lady JD na mumewe Gadna G Habash siku ya harusi yao takriba miaka saba iliyopita, hapa ni bahari Beach hotel siku hiyo muhimu katika maisha yao. Picha kwa hisani ya kaka Issa Michuzi aliyekuwa mpiga picha pekee siku hiyo.Tunawapongeza sana.

No comments: